GET /api/v0.1/hansard/entries/530937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 530937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530937/?format=api",
    "text_counter": 224,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Chea",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1694,
        "legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
        "slug": "mwinga-gunga-chea"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, kongole zangu kwa Mhe. Wanga kwa kujaribu kunena Kiswahili ambacho tunakitazamia. Ningetaka kumalizia kwa kusema kuwa katika jamii zetu, swala la watu kusoma Kiswahili limekua shida sana. Kuna watu wengi sana ambao Kiswahili hawakielewi. Kwa hivyo, ningetaka kuungana na wanenaji wenzangu ambao wamesema kuwa kuna haja ya kuhakikisha kwamba ile elimu ya watu wazima ambayo imekuwa ikitolewa imeregeshwa ndio watu waweze kurudi shule ili wapate mafunzo na wahakikishe wameelewa maswala haya."
}