GET /api/v0.1/hansard/entries/530949/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 530949,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530949/?format=api",
    "text_counter": 236,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwamkale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2672,
        "legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
        "slug": "william-kamoti-mwamkale"
    },
    "content": "Ukweli wa mambo ni kwamba magereza yetu yamejaa watu ambao wamehukumiwa kwa makosa ambayo hawakuyaelewa kwa sababu hawaelewi sheria zinasemaje wala hawajui wanatakikana wafuate utaratibu gani. Huwezi kumwambia mtu afuate sheria wakati sheria unayomwambia afuate haijui. Kwa hivyo kuna haja The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}