GET /api/v0.1/hansard/entries/530982/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 530982,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530982/?format=api",
"text_counter": 269,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Kwa mfano, mshikadau ambaye ni mahakama; ambayo inatoa hukumu kwa wale ambao wamekiuka sheria, ni lazima aelewe sheria hii. Wenye kutunga sheria, kama sisi Wabunge katika Bunge hili, ni lazima tuzielewe sheria ili tuweze kufanya utekelezaji. Pia The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}