GET /api/v0.1/hansard/entries/530992/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 530992,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530992/?format=api",
    "text_counter": 279,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ramadhani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2388,
        "legal_name": "Suleiman Dori Ramadhani",
        "slug": "suleiman-dori-ramadhani"
    },
    "content": "Spika wa Muda, Wakenya wengi wanaitambua lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, ni muhimu, kama viongozi, kutambua umuhimu wa Hoja hii. Mfano nzuri ambao nitauzungumzia leo ni tofauti zinazoibuka wakati tunapoleta Bungeni Miswada iliyobuniwa kwa Kiswahili na ile iliyobuniwa kwa Kiingereza. Kwa hakika, kule mashinani, wananchi hutiririka kwa wingi kutazama runinga mjadala unapofanywa kwa Kiswahili. Kwa hivyo, ninawaomba viongozi wenzngu; tuipe kipa umbele Hoja ili tuhakikishe kwamba Kiswahili kimeimarishwa humu nchini."
}