GET /api/v0.1/hansard/entries/531001/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 531001,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/531001/?format=api",
"text_counter": 288,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bedzimba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1933,
"legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
"slug": "rashid-juma-bedzimba"
},
"content": "Ahsante, mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kwa Hoja ya nidhamu, nikijua kwamba una uwezo wa kuamua ni nani anafaa kuongea. Ninaona kwamba kuna upendeleo humu ndani. Nimekuja Bungeni mbele ya mhe. Ramadhani lakini amepewa nafasi nami bado sijaongea. Kwa hivyo, ninaomba kwamba iwapo kuna Waheshimiwa wengine ambao hawaruhusiwi kuzungumza tuambiwe tujue ndiyo tukae mpaka muda uishe twende zetu. Ninaomba majina ya wanaongojea kuzungumzwa yawekwe mahali ambapo tutayaona ndiyo kila mtu ajue ni nani anafuata mwingine."
}