GET /api/v0.1/hansard/entries/531005/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 531005,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/531005/?format=api",
    "text_counter": 292,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Gikaria",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2489,
        "legal_name": "David Gikaria",
        "slug": "david-gikaria"
    },
    "content": "Ninaiunga mkono Hoja hii. Niko kwenye Kamati ya Utekelezaji wa Katiba, ambayo inaangalia mambo yote yanayopitishwa Bungeni ili kuhakikisha kwamba yametekelezwa. Kwanza, Hoja hii haihitaji senti ndiyo Mkuu wa Sheria aweze kuitekeleze, isipokuwa senti kidogo tu ambazo zitatumika kwa uchapishaji wa sheria. Nilipata nafasi siku moja kuwa katika gereza. Ni kweli kwamba wafungwa wengi wanaumia sana kwa sababu ya kutoelewa sheria ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kizungu. Kwa hivyo, kama alivyosema dada yetu, sheria zetu zikitafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, utakuwa msada mkubwa sana kwa wale wote ambao wako magerezani. Wale The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}