GET /api/v0.1/hansard/entries/531006/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 531006,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/531006/?format=api",
"text_counter": 293,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gikaria",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2489,
"legal_name": "David Gikaria",
"slug": "david-gikaria"
},
"content": "amabo watapelekwa kortini, wataweza kutumia sheria ambazo tuko nazo kujitetea. Ni kweli kwamba nchi hii haijafikia kiwango cha kuwa na mawakili ambao wataweza kusaidia watu wanyonge. Kwa hivyo, masuala mengi ya kisheria yawekwe kwa Kiswahili."
}