GET /api/v0.1/hansard/entries/531007/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 531007,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/531007/?format=api",
    "text_counter": 294,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Gikaria",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2489,
        "legal_name": "David Gikaria",
        "slug": "david-gikaria"
    },
    "content": "Hata hivyo, Kiswahili si lugha rahisi. Ni lugha ambayo ni lazima kila mtu aisome ili aweze kuilewa kwa undani. Mambo mengi ambayo yanaweza kutafsiriwa kutoka Kiingereza hadi Kiswahili, utapata hata Kiswahili ni kigumu zaidi kuliko Kiingereza. Hata hivyo, ningetaka kumshukuru dada yangu kwa kuileta Hoja hii na tutaitekeleza zile siku 60 sitakapomalizika."
}