GET /api/v0.1/hansard/entries/531011/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 531011,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/531011/?format=api",
    "text_counter": 298,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. (Ms.) Katana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 691,
        "legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
        "slug": "aisha-jumwa-katana"
    },
    "content": "Mataifa mengi ambayo yameendelea katika dunia ni yale ambayo yameandika sheria zao katika lugha ambazo zinazungumzwa kwa wingi katika mataifa yao. Nasisitiza na kuunga mkono ya kwamba sheria na Katiba katika Jamhuri yetu ya Kenya iandikwe na kutafsiriwa kwa Kiswahili."
}