GET /api/v0.1/hansard/entries/532153/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 532153,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/532153/?format=api",
"text_counter": 209,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Tumeteswa ya kutosha. Mungu alimguza Rais Uhuru na kuyaleta mambo ya wakora hawa. Tumeunga kama Wabunge wa ODM, TNA na URP. Wale wakora ambao tulipigia kura 2013 na kuwapandisha juu ya mti ili watuletee matunda, wameshindwa kutuletea matunda. Wanakula matunda wakiwa huko juu na kututeremshia matawi. Wakati umefika wa Wabunge wa ODM, TNA na URP kuleta miti na kuni ili tuwakishe moto chini ya ule mti. Rais Uhuru Muigai Kenyatta anafaa kuleta pilipili na Mhe. Spika ulete kiberiti ili tuwashe moto ndio hawa magavana wahisi moshi wakiwa kule juu na wateremke chini ndio Wabunge wapande juu."
}