GET /api/v0.1/hansard/entries/532155/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 532155,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/532155/?format=api",
"text_counter": 211,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Hawa magavana hawafai kuambiwa wasimame kando. Rais Uhuru Kenyatta anafaa kutumia sheria ambayo ilitumika kule Nigeria na kuwachukua hawa wanauma, mmoja kwa mwingine na kuwafunga. Hiyo stori iishe. Ninaunga mkono Hotuba ya Rais. Ningetaka kumwambia kuwa hakuna maana ya kumbembeleza punda kwa mteremko, mwachilie ateremke. Utambembeleza akipanda."
}