GET /api/v0.1/hansard/entries/532634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 532634,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/532634/?format=api",
    "text_counter": 102,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, nilisema hivi; ni aibu iliyoje kwamba wenzetu wametajwa katika ripoti hii? Naomba ninukuu vizuri, hata nikasema kwamba Sen. Orengo ametajwa kimakosa kwa sababu anadai urithi wa babake, ambayo ni haki yake. Ilhali imeandikwa hapa kwamba yeye ni mfisadi kwa kudai haki ya babake, na kadhalika. Ndipo sasa nikaulizwa niseme hawa wengine ni kina nani; basi mmesoma kwa ripoti. Yaliyomo katika ripoti hii---"
}