GET /api/v0.1/hansard/entries/532645/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 532645,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/532645/?format=api",
    "text_counter": 113,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kushughulikia mbuga ambazo ziko katika nchi yetu kama vile Nairobi National Park, Kyulu na Tsavo. Umefika wakati ambapo Waziri anafaa kuwakubali watu kulisha wanyama wa nyumbani katika mbuga za kitaifa. Serikali imefanya kazi kabisa. Tunajua kwamba pesa za ugatuzi zimewafikia wananchi. Wakati huu, hata vijana wetu wanapata karandasi hapa na pale. Ni vizuri tuone kwamba Rais wetu amewajibika kikatiba kwa kuhakikisha pesa za ugatuzi zimefika mashinani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}