GET /api/v0.1/hansard/entries/532720/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 532720,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/532720/?format=api",
    "text_counter": 188,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Njoroge",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13158,
        "legal_name": "Ben Njoroge",
        "slug": "ben-njoroge"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Nitazungumza kwa Kiswahili ili wale ambao hawaelewi Kiingereza wanipate kule mashinani. Naunga mkono Hotuba ya mhe. Rais na Ripoti ambayo aliyotupa inayohusu wale ambao wanaendelea kuchunguzwa. Naunga mkono Hotuba ya mhe. Rais aliyotoa hapa kwa sababu kuna mambo mengi ambayo amefanya kuwasaidia watu walemavu tangu alivyoshika usukani. Ametusaidia katika mambo ya biashara kwa kutupa pesa. Walemavu hawakuwa na nafasi ya kujihusisha katika biashara. Kwa hivyo, namshukuru mhe. Rais na Serikali yake kwa kuchukua hatua hiyo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}