GET /api/v0.1/hansard/entries/532726/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 532726,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/532726/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chiaba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 3,
"legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
"slug": "abu-chiaba"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili niunge mkono Hotuba ya mhe. Rais. Mhe. Rais Uhuru Kenyatta ameonyesha ushujaa na ujasiri ambao viongozi waliomtangulia hawakuweza kuchukua hatua kama hiyo. Ni wakati wa viongozi wote kushirikiana pamoja na kuunga mkono Hotuba ya Rais na kuomba wale wote waliotajwa kuajibika. Hii ndio njia pekee ya kuonyesha kwamba wao ni viongozi. Ikiwa wamefanya makosa, hawanabudi kuwajibika. Wale wengine ambao wametajwa na hawakufanya makosa, vile vile waonyeshwe ya kwamba sheria itawalinda. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}