GET /api/v0.1/hansard/entries/532739/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 532739,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/532739/?format=api",
    "text_counter": 207,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Kwanza nataka kumshukuru mhe Rais kwa kutoa Hotuba katika Bunge ijapokuwa nilikuwa mbali lakini niliisikia. Pia nataka kuwapa Maseneta wenzangu walioniletea rambirambi shukrani zangu. Ningependa pia kuwashukuru ndugu zangu Sen. Boy Juma Boy na Sen. Hassan. Ningependa kusema kwamba ufisadi ni sumu. Ufisadi ni kitu ambacho kimewahi kula familia nyingi. Maisha ya Wakenya iko chini kwa sababu ya ufisadi. Uhuru The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}