GET /api/v0.1/hansard/entries/532751/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 532751,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/532751/?format=api",
    "text_counter": 219,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Watu wasifurahi sana kwa sababu huu ni ujanja wa Serikali ya Jubilee. Kabla ya orodha hii kuwasilishwa hapa, tayari Mawaziri fulani walikuwa wameng’atuka mamlakani. Huu ni mtego wa panya ambao hunaza walimo ndani na wasiyekuwemo. Kwa maoni yangu, hapa pana maneno au mchezo fulani. Tayari orodha yenyewe inatiliwa shaka. Kuna siku 60 za kufanya uchunguzi. Uchunguzi---"
}