GET /api/v0.1/hansard/entries/533016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 533016,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/533016/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Madam Spika wa Muda, nakushukuru kwa kunipa fursa hii. Ningependa kutoa pongezi kwa Rais wetu wa Kenya kwa kutambua kwamba Wakenya wamedhulumika. Pia, nampongeza Rais wetu kwa kutambua kwamba mambo mengi yamefanyika katika nchi yetu na Wakenya wametatizika na kuumia kwa mikono ya viongozi na wakora waliopora rasilmali zetu."
}