GET /api/v0.1/hansard/entries/533020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 533020,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/533020/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Bule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1029,
        "legal_name": "Ali Abdi Bule",
        "slug": "ali-abdi-bule"
    },
    "content": "Madam Spika wa Muda, kuna baadhi ya watu waliotajwa hapa kwa tuhuma za ufisadi lakini hatuoni ni ufisadi gani uliotajwa dhidi yao. Kwa mfano, katika Kaunti yangu ya Tana River, kumetajwa watu kadhaa hapa kama Ismail Jillo, Salim M. Dame, Hassan Bare Kuno na Swaleh Salad Abashora. Mmoja wao ni County ExecutiveCommittee (CEC) Member, Finance; mwingine ni CEC, Water; mwingine ni CEC, Sanitation na mwingine ni CEC wa Education . Huyu Bare ni CEC wa Education na ametajwa pamoja na Swaleh, na yale ambayo yanatajwa juu yao yote ni tofauti. Kwa hivyo, hii inaonesha wazi ya kwamba kuna ukora ndani ya ripoti hii. Madam Spika wa Muda, mimi nasema kwamba yule aliyetayarisha na kuwasilisha hii ripoti ni mkora. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}