GET /api/v0.1/hansard/entries/535023/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 535023,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/535023/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Pili, nataka kumshukuru Rais kwa kuongea juu ya umeme. Ni kweli tusipokuwa na umeme katika nchi yetu ya Kenya utaona kwamba hakutakuwa na kazi nyingi zakufanya katika sehemu zetu. Wengi wa watu wa jua kali, akina mama wa kuuza mboga ama vijana wale wanaendesha piki piki--- Kwa kweli ni lazima tuwe na umeme ndiposa mambo ya usalama yaende sambamba."
}