GET /api/v0.1/hansard/entries/535025/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 535025,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/535025/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Pia namshukuru Rais kwa sababu ya hazina ya Uwezo Fund. Imewafikia akina mama kule mashinani na pia vijana wetu; hatukuwa na hizi pesa na vijana na akina mama wetu walikuwa wakiangamia. Lakini sasa ninafurahi sana kwa sababu akina mama wanaweza kufanya biashara zao, vijana wetu si kwamba ni piki piki pekee ama baiskeli peke yake, ila wana njia nyingine za kujiendeleza kimaisha."
}