GET /api/v0.1/hansard/entries/535028/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 535028,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/535028/?format=api",
    "text_counter": 204,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Nikimalizia, ningesema kwamba mambo ya ufisadi katika nchi yetu ya Kenya--- Ni lazima sisi Wabunge tumuunge Rais mkono ili tuhakikishe kwamba mambo ya ufisadi yanaisha. Katika hii orodha ambayo imeletwa tunaka kuona uchunguzi utakavyofanyika ndiposa tujue huyu amefanya nini na yule amefanya nini. Ninaomba kwamba sisi kama viongozi tuunge mkono Rais na naibu wake ili tuhakikishe kwamba tunapata maendeleo katika miaka mitano tuliyochaguliwa kuhudumu."
}