GET /api/v0.1/hansard/entries/535285/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 535285,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/535285/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Asante sana mhe. Naibu Spika wa Muda. Mimi pia nasimama hapa kama wabunge wenzangu walivyofanya ili kuzungumzia Hotuba ya Mhe. Rais ambayo aliitoa katika Bunge hili letu la Kumi na Moja. Mimi nataka kuzungumza kama kiongozi na kiongozi huzungumzia mazuri na pia yale yenye udhaifu. Kwanza, nataka kusema kwamba, wakati Mhe. Rais alipozungumza na kuomba msama juu ya matukio ambayo yamefanyika kupitia utawala wa wale viongozi wa wakati wa nyuma, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}