GET /api/v0.1/hansard/entries/535325/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 535325,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/535325/?format=api",
"text_counter": 249,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Ningependa kuzungumzia mambo ya unyakuzi wa mifugo na usalama. Mambo ya usalama ni muhimu sana katika Kenya yetu. Tujue bila usalama hakuna vile tunaweza kuishi. Ningezungumzia kwa upande wa wafugaji. Ningeomba Mheshimiwa Rais aangalie zaidi mambo ya usalama kwa upande wa wafugaji kwa sababu inaonekana kuwa hiyo imekuwa biashara. Vita vile tunapigana pale imekuwa ni biashara ama wizi. Kwa kweli Mheshimiwa Rais amesema kuwa wale wamepata taabu ya vita mbeleni--- Wafugaji wamepoteza waume wao na mali. Mimi pia ningesema wafugaji walipwe fidia. Tumepoteza watu, mali na kila Mkenya anajua kuwa mahali ambapo ninatoka, watu wengi wamekufa na hadi wakati huu bado askari wanaendelea kufariki. Inafaa jambo hili liangaliwe kwa makini kwa sababu moto ukichoma pahali pamoja unaenea kote. Mambo haya kila siku yanachukuliwa kama"
}