GET /api/v0.1/hansard/entries/535327/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 535327,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/535327/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": ". Ningesema ni vyema ijulikane ni kwa nini shida inatokea katika pande hizo za wafugaji kila wakati. Kuna mambo ya ukame. Ingefaa tuliangalie jambo la ukame kwa sababu ukame uko kila mwaka. Tunategemea mvua ya Mwenyezi Mungu. Ingefaa pia hayo mambo ya ukame yaangaliwe kwa sababu watu wanaenda kuzunguka kutafuta nyasi. Wakati wananchi wanaenda kutafuta nyasi, jambo hili linaleta shida. Kwa hiyvo, ninaunga mkono. Tunaambia Rais asimame hivyo na aendelee hivyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}