GET /api/v0.1/hansard/entries/535328/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 535328,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/535328/?format=api",
"text_counter": 252,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Mambo ya ufisadi na wizi yanafaa yaangaliwe zaidi. Ningeomba na kusema ya kwamba tusiyachukue haya kuwa ni mambo ya ukabila. Kama una ufisadi ni afadhali uangaliwe zaidi. Isichukuliwe kama kuna wale wanadhulumiwa. Hakuna mtu anadhulumiwa. Kama mtu ni mfisadi lazima aangaliwe. Wakenya wote wanamuunga mkono Rais. Kwa vituo vya Huduma pia tunashukuru sana. Vituo vya Huduma vinaletea Wakenya manufaa kwa sababu huduma zote ziko karibu. Wale watu hawawezi kufika Nairobi watapata huduma yao karibu."
}