GET /api/v0.1/hansard/entries/535506/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 535506,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/535506/?format=api",
    "text_counter": 430,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "barabara. La sivyo, huyu ambaye amepewa hiyo kandarasi hangeshindwa kutekeleza wajibu wake wa kumaliza barabara hiyo. Maafisa wa ardhi nao wanachangia sana katika ufisadi. Nikiangalia sehemu kama ya Msambweni pale Voi, mtu alipewa nafasi ya kujenga kiwanda cha Bata. Kilipomshinda akauza na hivi sasa mwenyewe anataka kuwafukuza wananchi ilhali alishindwa kujenga kiwanda cha Bata. Naomba huu ufisadi ambao umekita mizizi nchini uangaziwe ili sote tupate kuokoka na kutoka kwa ufisadi. Labda lingekuwa jambo la busara wale ambao wamefanya ufisadi---"
}