GET /api/v0.1/hansard/entries/536812/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 536812,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/536812/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "hauleweki kabisa. Kuna sehemu ndogo ndogo ambazo zimejumuika kwa kaunti kubwa kubwa na kuonekana kana kwamba zimeendelea. Kwa mfano, kule mlima Kenya, ukienda sehemu zingine za Nyandarua, hazina maendeleo kabisa. Ukienda Kieni mahali pa ukavu, wako nyuma na unawalinganisha na---"
}