GET /api/v0.1/hansard/entries/536844/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 536844,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/536844/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kwamba vile tumekwenda katika ugatuzi, yatakikana kuwe na mabadiliko. Ndio kwa sababu tunaongeza pesa katika mgao wa serikali za kaunti. Hatuongezi pesa ili walio na matumbo madogo wazidi kuwa na matumbo makubwa. Tunaongeza pesa kwa huduma ya mwananchi ili mabadiliko yaonekane. Si kwamba wakubwa wawe na magari kumi na tano bali tunaongeza ili huduma iwe bora. Inafaa ule mzalendo anayesimama kwenye foleni na kupiga kura aweze kuona mabadiliko. Hayo ndio mambo muhimu. Jambo la pili---"
}