GET /api/v0.1/hansard/entries/536873/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 536873,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/536873/?format=api",
"text_counter": 191,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chiaba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 3,
"legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
"slug": "abu-chiaba"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili niungane na wenzangu kuunga mkono Mswada huu. Mswada huu ni muhimu sana katika Seneti kwa sababu ni mojawapo ya sababu ambazo Katiba yetu imetambua kuwa lazima Seneti iwepo katika ugawaji wa pesa kwa kaunti zetu 47. Bw. Spika wa Muda, nataka kuchukua fursa hii kumpongeza Mwenyekiti wa Kamati hii na wote anaofanya kazi nao kwa kufanya kazi ngumu katika muda mfupi wa wiki mbili. Kazi hii haikuwa rahisi. Kwa furaha kubwa, naunga mkono Mswada huu kwa sababu tumeongeza pesa zaidi kwenda katika serikali zetu za kaunti ili ijulikane na watu wetu katika makaunti kwamba pesa zote zinazoshuka huko mashinani ni kwa sababu ya Maseneta na Seneti hii yote. Nataka kuchukua fursa hii kuishukuru Seneti yote kwa kukubali kwamba Lamu ni moja katika kaunti zitakazopata ufadhili wa Kshs400 za kujenga makao makuu ya kaunti. Ni furaha kubwa ya kwamba pesa za kusawazisha wale ambao ni maskini zaidi au"
}