GET /api/v0.1/hansard/entries/536875/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 536875,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/536875/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "zitapewa serikali za kaunti badala ya kwenda kwa Wabunge. Hali kama hiyo ndio inatutia moyo. Twafaa pia tuangalie kwa uangalifu mkubwa kama kuna mahali ambapo panahitaji kurekebishwa au kuletwa amendments hapa ili tufanye kazi hiyo ya kuangalia maslahi ya kaunti zetu na pesa ziende mashinani. Kwa hayo machache, nakushukuru, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa kama hii."
}