GET /api/v0.1/hansard/entries/536901/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 536901,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/536901/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie Mswada huu. Ninataka kupongeza Kamati ya Fedha kwa sababu wamefanya kazi nzuri kwa kuleta Mswada huu. Mimi ninaunga mkono huu Mswada wa ugawanyaji wa pesa wa 2015. Leo tunaupitisha Mswada huu kwa maunfaa ya serikali zetu za kaunti na si kwa manufaa yetu binafsi; bali ni kwa wananchi wa Kenya. Kwa hivyo, hivi leo inafaa wananchi watambue kazi ya Seneta.Tukipitisha pesa kwenda mashinani, hatutaki zitumiwe vibaya kwa njia yoyote ambayo haitaleta maendeleo kwa wananchi wa Kenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}