GET /api/v0.1/hansard/entries/536934/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 536934,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/536934/?format=api",
"text_counter": 252,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Leo ni siku muhimu katika taifa letu ambayo inaangaziwa katika kila sehemu ya nchi. Ninaunga mkono Mswada huu kuhusu mgawo wa mapato kwa kaunti zetu. Hata hivyo ningependa kusisitiza kwamba pesa ambazo zinatengewa kaunti zetu hazipaswi kwenda kwa mifuko ya magavana au vijana ambao wameajiriwa katika kaunti hizo. Bw. Spika wa Muda, pesa tunazozungumzia leo hii zinatokana na sisi kupigana miereka na Serikali kuu."
}