GET /api/v0.1/hansard/entries/537174/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 537174,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/537174/?format=api",
    "text_counter": 492,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii na mimi katika sauti ya kuomba kwa marafiki zangu kama Sen. Juma Boy Juma ambao walikuwa na bahati ya siku za nyuma, kwamba Kaunti ya Lamu ni ile imekuwa marginalized kwa miaka yote. Governor hana mahali pa kukaa na kwa sasa amekodesha mahali. Mimi niko na ushahidi kamili. Nimeenda na Kamati ya Energy ikiongozwa na Sen. Moi, tulimtembelea governor akiwa na sitting room, room moja, na juu ni mahali analala. Jambo la kusikitisha ni county assembly . County assembly ni nyumba ya akina mama ambao ni maskini. Hivi sasa wametoa ilani kwa county assembly waondoke. Kwa hivyo msiangalie kwamba siku zilizopita watu wamejenga upande wao. Sisi ambao hatukuwa na uwezo tusaidiane. Bw. Naibu Spika, Kaunti ya Tana River, mnajua vile ilivyo, watu wakienda kule wanasema hii si Kenya. Kwa hivyo tunaomba kwa unyenyekevu hizi kaunti nne na mimi najua kwamba rafiki yangu, Sen. Wetangula, atapiga kura kuniunga mkono, nitamtangaza The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}