GET /api/v0.1/hansard/entries/537830/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 537830,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/537830/?format=api",
"text_counter": 572,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Mwenyekiti Wa Muda. Katika nchi yetu ya Kenya, kumekuwa na ukora mwingi. Ukiingia ofisi za Serikali, wakati wanataka kupeana zabuni, unasikia mtu mwingine kwa mfano, ―Bw. Stephen‖ amepewa stakabadhi kumi kwa mtu moja. Ni kwamba, ikiwa hiyo kazi ilikuwa ya Kshs.100 milioni, yeye anasema ya kwamba kwa sababu mtu mmoja ndiye amepewa kazi hiyo, wacha niweke iwe Kshs300 milioni. Kama ni ya Kshs300 milioni, anafanya iwe Kshs500 milioni. Kama ni ya Kshs500 milioni, anafanya iwe Kshs600 milioni. Lakini usisahau hiyo kazi ni ya Kshsh100 milion. Hiyo kazi---"
}