GET /api/v0.1/hansard/entries/539389/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 539389,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/539389/?format=api",
    "text_counter": 38,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadime",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2451,
        "legal_name": "Andrew Mwadime",
        "slug": "andrew-mwadime"
    },
    "content": "Shukrani kwa kunipatia dakika moja. Kwa ukweli kama ndugu zetu upande ule mwingine husema: “Kiswahili kilizaliwa kule Tanzania, kikaanguliwa Kenya na kikafia kule Uganda.” Itakuwa ni dawa ya huu usemi. Vile vile lugha huchangia pakubwa kwa kuboresha madili na mila kwa wale ambao wanaongea hiyo lugha. Ingekuwa ni vyema zaidi kutafsiri hizi sheria kwa lugha zetu kwa sababu hii itakuwa njia ya kuziboresha, pia tutakuwa tunaboresha mila zetu za Kenya. Lugha ya Kiswahili---"
}