GET /api/v0.1/hansard/entries/539397/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 539397,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/539397/?format=api",
    "text_counter": 46,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Kwa hivyo, ninaunga mkono na ningeomba kwamba baada ya kupitisha Hoja hii basi kila kitu ndani ya Bunge hili kitafsiriwe kwa lugha ya Kiswahili. Vile vile, Serikali ihakikishe ya kwamba inapeleka walimu katika kila kijiji na iwe ni lazima kila mtu afundishwe Kiswahili. Jambo hili litafanya watu kujua haki zao na kujitetea---"
}