GET /api/v0.1/hansard/entries/541021/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 541021,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/541021/?format=api",
"text_counter": 234,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Simba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 12532,
"legal_name": "Paul Simba Arati",
"slug": "paul-arati-simba"
},
"content": "Mhe. Spika, nataka kwanza mwelekeo kutoka kwako. Mwelekeo ambao nautaka ni kwamba mwenyekiti wa kamati ya Justice and Legal Affairs, Mhe Chepkongāa, amekuwa hapa Bungeni, lakini ameachia makamu wake kuisoma ile Ripoti. Najua kwamba hii inakubalika katika sheria zetu."
}