GET /api/v0.1/hansard/entries/541026/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 541026,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/541026/?format=api",
    "text_counter": 239,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Arati",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 12532,
        "legal_name": "Paul Simba Arati",
        "slug": "paul-arati-simba"
    },
    "content": "Mhe. Spika, nataka kurudia mambo ambayo ni muhimu sana kwa sababu ya ile nyumba ambayo kamisheni inatumia. Mimi mwenyewe ndio nilioyaleta yale katika ule mkutano. Kwa hivyo, nikiongea naelewa vizuri kwamba yale ninayogusia ni kwa sababu yanamgusa moja kwa moja mwenyekiti wa ile kamati. Nataka nikueleze kwamba mwenyekiti wa ile kamati amehusika kwa njia moja ama nyingine kuhakikisha kwamba wale makamishina--- Mmoja ni kamishina Keino ambaye aliweza kupatiana ripoti pale kwamba mhe. mwenyekiti wa kamati---"
}