GET /api/v0.1/hansard/entries/541218/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 541218,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/541218/?format=api",
"text_counter": 36,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Ukiangalia upande wa matatu, matatu nazo tulisema tuwekewe mikanda wakati wa nyuma na ikawekwa lakini hivi sasa hakuna mikanda na ukiangalia vile zinavyobeba, bado tunaharibu mpangilio wetu ambao tulikuwa tumeuweka kisheria na hali tunahesabu kwamba kuna watu wanasimamia maeneo hayo."
}