GET /api/v0.1/hansard/entries/541842/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 541842,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/541842/?format=api",
"text_counter": 114,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Ahsante Mheshimiwa Spika. Naomba nichukue nafasi hii pia kuunga mkono yote ambayo yamewasilishwa na Kamati ya Uwekezaji, ambayo inazungumzia juu ya kubinafsishwa kwa Shirika la Simu la Kenya; uwekezaji ambao ulifanywa umeleta tashwishi. Vile tunavyojua, Serikali ililazimika itoe billioni mbili nukta tano, fedha ambazo tumepoteza na nchi hii itakuwa imepata hasara kubwa na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}