GET /api/v0.1/hansard/entries/541843/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 541843,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/541843/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "hatujui ni wakati gani tutakuwa tumepata fedha hizi. Inasikitisha kuwa wakati wowote watu wakitaka kubinafsisha mashirika ya Serikali, kila wakati lazima hasara iingie, na moja yao ndio hii. Ndio maana tunapendekeza kuwa shirika ambalo linahusika na kuangalia kuwa ufisadi haupo linahusishwa kikamilifu ili likapate kuchunguza kashfa hii kwa undani sana. Naunga mkono Kamati."
}