GET /api/v0.1/hansard/entries/542959/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 542959,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/542959/?format=api",
    "text_counter": 18,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Ahsante Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipatia fursa hii ili nami nichangie Hoja hii. Ni dhahiri kwamba wengi wamedhulumika kwa sababu ya kutofahamu sheria kwa sababu sheria zimeandikwa katika lugha ya kigeni, Kiingereza. Kwa hivyo, watu wengi wanapata ugumu kufahamu sheria za nchi."
}