GET /api/v0.1/hansard/entries/542981/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 542981,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/542981/?format=api",
"text_counter": 40,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Shakila Mohamed",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 380,
"legal_name": "Shakila Abdalla",
"slug": "shakila-abdalla"
},
"content": "Asante, Mhe. Naibu Spika. Naomba nichangie Hoja hii ya Kiswahili. Kitu muhimu ningependa kusema ni kwamba lugha ya Kiswahili inafaa itukuzwe. Kama tunavyojua, Wakenya wengi hawajasoma kamili. Ikiwa tutaweza kutafsiri sheria zetu kwa Kiswahili, itakuwa ni jambo la maana kwa sababu watapata kuelewa haki zao. Wengi hawaelewi haki zao kwa sasa hususan wale ambao wanapatikana katika hali ya kisheria kama kortini, jelani na sehemu ambazo zinawaletea shida kwa kutojua haki zao za kisheria. Kwa hivyo, naunga mkono Hoja hii. Ni muhimu Serikali iitilie maanani na ihakikishe hizi sheria zimetafsiriwa ili watu waelewe haki zao kikamilifu na wasipate---"
}