GET /api/v0.1/hansard/entries/543653/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 543653,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/543653/?format=api",
"text_counter": 481,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "hawakuweza kuwasaidia wale vijana waliokua wakiuawa. Labda, kama askari kutoka kwa kikundi cha Recce Company wangefika Garissa asubuhi, wangeweza kuokoa maisha ya watoto zaidi ya mia moja miongoni mwa wale ambao waliuawa. Lakini---"
}