GET /api/v0.1/hansard/entries/544187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 544187,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/544187/?format=api",
"text_counter": 204,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mositet",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 608,
"legal_name": "Peter Korinko Mositet",
"slug": "peter-korinko-mositet"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Nimesimama kwa sababu ya jambo ambalo linaguza kaunti yangu. Hili ni jambo la usalama. Kuna gazeti la Star ambalo limesema kwamba Sen. Wamatangi anawahamisha watu kutoka upande wa Limuru na kuwapeleka upande wangu wa Suswa. Naona hili ni jambo ambalo linaloweza kusababisha hatari kwa usalama."
}