GET /api/v0.1/hansard/entries/54464/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 54464,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/54464/?format=api",
    "text_counter": 351,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Bi Naibu Spika wa Muda, si mzaha kuongea juu ya Hoja hii kwa sababu ni jambo ambalo linahusu binadamu, wananchi wazalendo na shida walizonazo mashinani. Hata Wabunge walio katika Jumba hili, kunao wenye mali na wengine hawana. Pia, wao wanausikia uzito huu."
}