GET /api/v0.1/hansard/entries/54469/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 54469,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/54469/?format=api",
    "text_counter": 356,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Bi Naibu Spika wa Muda, mimi najua vizuri sana. Ushuru wa juu wa mafuta unatumika kujenga barabara zetu. Mhe. Mbunge, ajiulize ni asilimia ngapi ya ushuru huo unaotumika kujenga barabara zetu."
}