GET /api/v0.1/hansard/entries/54471/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 54471,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/54471/?format=api",
"text_counter": 358,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Bi. Naibu Spika Wa Muda, asemayo mhe. Mbunge ni kweli. Lakini gharama ya kununua mafuta kutoka nje imepanda maradufu. Kwa nini sisi hatutaki kutumia kawi inayotokana na makaa. Nchi hii ina tani nyingi za makaa ya mawe ambayo yanaweza kutumika katika viwanda vyetu na kadhalika, badala ya kutumia mafuta. Ni kweli katika Bunge hili, kuna makabaila na mabaradhuli. Watu hawa hawajali maslahi ya wananchi. Watu hawa wanapatikana pande zote za Bunge hili; PNU au ODM. Watu hawa wanajulikana."
}