GET /api/v0.1/hansard/entries/546822/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 546822,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/546822/?format=api",
"text_counter": 252,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "Asante sana mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuchukua nafasi hii kumpongeza sana mhe Wangwe kwa kuleta Mswada huu. Tunajua sisi wote kwamba elimu ni mwangaza na ni muhimu sana kwa watoto wetu katika taifa hili. Mhe Wangwe amefikiria si eneo Bunge lake tu, lakini watoto wote katika taifa letu la Kenya."
}